- Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwasili na ujumbe wake kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba, kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi mkoani Kagera ambako pamoja na shughuli nyingine alifungua Baraza la Vijana wa CCM, Wilaya ya Missenyi mkoani humo.
Nape akiwa ka Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Avelyne Mushi baada ya kuwasili
Nape akizungumza na viongozi katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kagera
Nape akitoka katika ofisi hiyo baada ya mapokezi
Nape akitoa salam za CCM, kwenye msiba wa mtumishi wa siku nyingi waserikali, Balozi, Dk. Vedasto Kyaruzi, mjini Bukoba, baada ya kwenda kwenye msiba huo wakati wa kuaga mwili wa marehemu tayari kwa mazishi yaliyofanyika jana mjini Bukoba.
Kijana wa CCM akimvisha skavu Nape. Kulia ni Mkt wa UVCCM mkoa wa Kagera, Revocatus Bubeye na Wapili kushoto ni Kamanda wa Vijana Kagera, Dioniz Malinzi
Nape na viongozi waliompokea wakipita katika paredi la Vijana wa CCM
Nape akikata utepe kuingia kwenye uwanja wa Mashujaa, kuzindua Baraza hilo.
Msanii wa kundi la Nshomile Family la mjini Bukoba, Nazir Abdallah akitoa burudani kwenye kambi hiyo
Nape akimkabidhi cheti Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera, Dioniz Malinzi kwa kuwa mmoja wa waliowezesha kambi hiyo ya Baraza la Vijana
Vijana kati ya Baraza la Vijana, Misenyi, wakimsikiliza Nape
Nape akimsalimia Simon Andrea ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Walemavu , wilaya ya Misenyi
Nape akiwasalimia vijana kabla ya kuondoka kwenye kambi hiyo
Nape akiagana na baadhi ya vijana hao
Kisha Nape alipata fursa pia kucheza gofu kwenye viwanja vya mchezo huo vya Dioniz Malizni (kulia) nje kidogo ya mji wa Bukoba
Akipiga kwanja mpira
Akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watu wengine kwenye Uwanja huo wa Gofu wa Dionia Malinzi
Bila shaka hawa waliokuwa katika picha hii wakiwemo waandishi wa habari hawawezi kusahau ubora wa kiwanja hicho cha Gofu
Safari ya kurudi Dar ikawa hivi
SAAAFI SANA COMRED NAPE SEMINISHA WAENEZI (M) NA (W) WAFUATE NYAYO BIG UP!!!!