MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA WEBSITE NA BLOGU YA CCM MUDA HUU
Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu mjini Dodoma wakisubiri muda huu kuzinduliwa kwa Blogu hii ya CCM na Website, shughuli inavyofanywa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemno wajumbe wa NEC kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jioni hii (Picha na Bashir Nkoromo).
Mbona mapicha tu na link kwenda tovuti zingine. Kavu sana............