Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AONDOKA DODOMA BAADA YA VIKAO VYA CCM

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kablaya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Dodoma, mchana huu, baada ya kumaliza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) juzi na jana.
 Rais Kikwete akiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Rais Kikwete akiagana na Nape. Kulia ni Waziri Mkuu Pinda
 Rais akiagana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo.
 Rais akiagana na Mbunge wa Mtera, Dodoma, Livingstone Lusinde
Rais akipanda ndege kwenda Dar es Salaam. Anatarajiwa pia kuondoka hii leo kwenda Marekani kikazi

This entry was posted in

Leave a Reply