Google PlusRSS FeedEmail

TAWI LA OFISI NDOGO MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA ,DAR WAFANYA UCHAGUZI MKUU WAO

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)A CCM, Nape Nnauye akifungua mkutano wa uchaguzi mkuu wa tawi la CCM la Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Vijana, Kinondoni. Wengine kulia ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma na kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilahi Mihewa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Tawi hilo, Venance Mkude
 Wajumbe wa mkutano wa uchaguzi mkuu tawi la CCM, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba , wakiwa kwenye kikao hicho.
 Katibu wa tawi hilo aliyemaliza muda wake akifungua kikao
Nape akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti, akiwa mmoja wa wanachama wa tawi hilo.

This entry was posted in

Leave a Reply