RAIS JAKAYA KIKWETE AMPOKEA RAIS ALLASANE OUTTARA WA IVORY COAST JIJINI ARUSHA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Allasane Outtara wa Ivory Coast wakati akimpokea katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro, Rais Outtara ni mmoja wa wageni mashuhuri wanaohudhuria mkutano wa AFBD unaoendelea mjini Arusha.