KATIBU MKUU WA CCM AMJULIA HALI PROF. MWANDOSYA
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akizungumza na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake, Kunduchi, Dar es Salaam. Katikati ni Lucy, mke wa Mwandosya. Picha kutoka Michuzi Blog kwa picha zaidi BOFYA HAPA (LEO MAY 10, 2012)