KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA AFRIKA KUSINI
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na ujumbe wa wafanyabisahara kutoka Afrika Kusini, walipokwenda kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam. Watatu kushoto ni kiongozi wa msafara huo, Dumisan Sooi
kama kweli yatafanyiwa kazi ni vema na haki;)