KIJANA MWAKIBINGA AWANIA UKATIBU UVCCM KATA YA KAWE, DAR
Kada wa CCM, James Mwakibinga amekabidhi fomu yake leo ya kuwania Ukatibu wa UVCCM Kata ya Kawe katika uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni katika kata hiyo. Pichani, akimkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa UVCCM wa Kata hiyo, Aisha Katundu