WAZIRI DK. TEREZYA ATETA NA BALOZI WA BRAZIL NCHINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia mazingira Dk. Terezya Huvisa. Akizungumza na Balozi wa Brazil, Nchini Tanzania, Comoro na Seychelles Bw. Francisco Carlos Joares Luz. Ofisini kwake mjini Dar es Salaam, leo. Mazungumzo hayo yalihusu maandalizi ya Mkutano wa Kimataifa wa Rio +20. Picha na Ali Meja.