RAIS AREJEA NYUMBANI KUTOKA ETHIOPIA
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadik akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu julius Nyerere akitokea Addis Ababa nchini Ethiopia alipokwenda kuhudhuria mkutano wa World Economic Forum(WEF)(picha na Freddy Maro)