Katibu wa NEC, CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara leo kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Mafinga mkoani Iringa |
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Nape huku wakiwa nje ya Uwanja baada ya kukosa nafasi ndani kutokana na uwanja huo kujaa watu. |