VIJANA ELIMU YA JUU IRINGA, WAFAGILIA MAGEUZI NDANI YA CHAMA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi na Uenezi,Ndugu Nape Nnauye akizungumza na vijana katika mahafali ya Makada wa CCM kutoka katika vyuo vikuu mkoa wa Iringa, ambapo alikabidhi vyeti kwa wahitimu 230 na kadi za CCM kwa wanachama wapya 148.