Google PlusRSS FeedEmail

NAPE ANOGESHA MAHAFALI YA WANA-CCM CHUO KIKUU CHA TEKU MBEYA

Nape baada ya kuwasili mjini Mbeya kuanza ziara ya siku mbili mkoani humo
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati akihutubia wanachama wa CCM, tawi la Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) Mbeya, katika mahafali ya kuwaaga, katika hoteli ya paradise mjini Mbeya
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akimpa kadi ya CCM Aranora Msigwa wa mwaka wa  tatu, Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) alipopokea wanachama wapya wa CCM, wakati wa mahafali ya wana-CCM tawi la Chuo hicho mjini Mbeya, leo June 25. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa  wa CCM Mbeya, Maganga Sengerema.
Nape akiifurahia picha yake baada ya kuzawadiwa na wanachuo hao

This entry was posted in

Leave a Reply