Google PlusRSS FeedEmail

Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Idd ampokea Mwakilishi wa Taasisi ya Huduma za Teknolojia ya Afya Nchini Marekani ya MED International.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Iddy akimsalimia mwakilishi wa Taasisi ya Huduma za Teknolojia ya Afya ya Chuo Kikuu Cha Brown kilichopo Boston Nchini Marekani Bw. Jayson ofisini kwake Vuga mjini Unguja, Zanzibar. Katikati ni Mkurugenzi mwenza wa Taasisi hiyo Bwana Hai Sheng Chia.

This entry was posted in

Leave a Reply