Google PlusRSS FeedEmail

MAONYESHO YA BUSINESS DEVELOPMENT GATEAWAY YAHITIMISHWA LEO

Wajasiriamali kutoka Iringa wakionyesha ujumbe wao wakati wakipita mbele ya Waziri Mkuu

Fatma Kange akitoa maelezo juu ya umuhimu wa bar codes katika bidhaa za Tanzania kwa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda
Baadhi ya bidhaa kutoka kwa msindikizaji wa vyakula Lusiga's wa mkoa wa Morogoro

Balozi wa Rwanda nchini akimsikiliza akimsikiliza mjasiriamali Kibibi Japhary akifananua jambo juu ya mafuta na unga wa Ubuyu  katikati ni Flora Ibreck wa TPSF

Bidhaa za Soya kutoka  Gemji Home Bakery Healthy Bread zikiwa zimehifadhiwa katika viwango vya juu kabisa.

Ras Mizizi wa kikundi cha Wa Asili Asili akitoa maelezo kwa Mh. Waziri Mkuu, ndugu Mizengo Pinda juu ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi,katikati ni mwenyekiti wa TPSF Mama Esther Mkwizu

Asali safi ya Nyuki kutoka Pemba

Mama Eonike Sauli Lema wa Designer Boutique Fashion akionyesha baadhi ya kazi zake za mkono.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

This entry was posted in

Leave a Reply