RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMWAPISHA RAS WA MKOA WA RUVUMA.. Posted on by Unknown Katibu Tawala mpya wa mkoa wa Ruvuma Bwana Hassan Mpapi Bendeyeko akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo.