TAWI LA WASHINGTON, DC MARYLAND NA VIRGINIA
Tunapenda kuwatangazia wana DMV wote kwa wale ambao bado hawajaweza kujiandikisha na wanapenda kujiunga na Chama Cha Mapinduzi tawi la DMV, tafadhali tuma jina, anuani na simu yako kwa email;.............. pia kwa maelezo zaidi wasiliana na vingozi wa Tawi Email address:ccmwashdc@gmail.com
1. Loveness Mamuya – Mwenyekiti…….. 240-423-0437
2. Yacob Kinyemi – Katibu ……………………. 202-629-7841
3. Lemi Mhando …………………………………..202-361-1059
4. Benjamini Mwaipaja …………………………….-240-423-6737
5. Given Kasanju…………………………………………443-433-6968
6. Alawi Omar…………………………………………..301-339-3765
Taratibu za kugawa kadi na sherehe za ufunguzi wa Tawi zitafanyika rasmi hivi karibuni, mwana CCM ukipata taarifa hizi mfikishie mwanachama mwingine
Kidumu Chama Cha mapinduzi, CCM Oyee!
Uongozi wa Tawi CCM DMV.