Mgeni Rasmi Ndg. Abdulrahaman Kinana akitoa hotuba katika mkutano wa hadhara viwanja vya kichangani morogoro. |
Katibu wa (NEC) Siasa na Mahusiano ya Kimataifa Ndugu January Makamba akifafanua jambo katika hotuba yake iliyohusu masuala ya Amani katika Tanzania. |
Baadhi ya wageni wa Meza Kuu ambao ni Manaibu Waziri, Wabunge na Madiwani pamoja na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohudhuria katika Mkutano Huo. |
Umati wa watu uliojitokeza katika mkutano huo wakifuatilia kwa Umakini na kusikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wa Chama Cha Mapinduzi. |
nani anasema wanafunzi wa vyo vikuu sio CCM??????? ccm oooooyyyyyeeeeeeee!!!!!!!!!!!