Google PlusRSS FeedEmail

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MHE. JOSEPH WARIOBA KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 19 JUNI, 2012 KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE, DAR ES SALAAM.

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, Katibu wa Tume Assaa Rashid (kushoto kwa Mwenyekiti) na Dkt. Salim Ahmed Salim, Mjumbe wa Tume katika mkutano Ukumbi wa Karimjee.

Ndugu Wanahabari,
Nianze kwa kuwashukuru kwa kuitikia mwaliko wetu. Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilianza kazi mwanzoni mwa Mwezi Mei, 2012 na kipindi hiki tumekitumia kwa maandalizi na sasa tuko tayari kuanza awamu ya kwanza ya kazi yetu, yaani kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi. Baada ya hapo itafuata awamu ya pili ya kuandaa taarifa, mapendekezo na Rasimu ya Katiba Mpya. Baadaye Tume itakutana na Mabaraza ya Katiba na mwisho Rasimu ya Katiba itafikishwa kwenye Bunge Maalum. Hotuba Kamili BONYEZA HAPA 

This entry was posted in

Leave a Reply