NAPE, GUNINITA WAMJULIA HALI JOSEPH SELASINI WA CHADEMA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimpa pole Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini, wodini, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, leo. Selasini amehamishiwa Muhimbili kutoka KCMC, kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji mkono alioumia katika ajali aliyopata hivi karibuni. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita:PICHA: BASHIR NKOROMO