Google PlusRSS FeedEmail

DR. ASHAROSE MIGIRO AAGWA RASMI UMOJA WA MATAIFA (UN)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiwa na Mkewe, anayefuatia ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Asha-Rose Migiro akiwa na Mumewe, Profesa Cleophas Migiro wakisubiri kusalimiana na wageni waalikwa wakati wa hafla ambayo Ban Ki Moon aliandaa maalum kwajili ya kumuaga msaidizi wake wa Karibu.
Dkt. Asha-Rose Migiro akizungumza wakati wa hafla hiyo, iliyoandaliwa na Katibu Mkuu wa UN ambapo Mhe. Ban Kii Moon alitumia fursa hiyo kumteua Dr Asha-rose kuwa ni mjumbe maalum wa masuala ya ukimwi na ugonjwa wa ukimwi barani Afrika.

This entry was posted in

Leave a Reply