ZIARA YA KATIBU WA NEC, ASHA ABDALLAH JUMA MKOANI TANGA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Oganaizesheni, CCM, Asha Abdallah Juma (kushoto) akikagua ujenzi wa jengo la ghorofa moja, la tawi la CCM Mgwashi, Wilayani Lushoto mkoa wa Tanga, wiki iliyopita. Pamoja naye ni viongozi wa tawi hilo. Picha zaidi za ziara hiyo BONYEZA HAPA