Google PlusRSS FeedEmail

SAITOTI KUZIKWA JUMAMOSI

Waziri wa Ulinzi Kenya,George Saitoti aliyefariki dunia kwa ajali ya helikopta anatarajiwa kuzikwa Jumamosi akifuatiwa na Naibu wake Orwa ojodeh atakayezikwa Jumapili.

KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI ANG'OLEWA

Kiongozi kivuli wa shughuli za bunge kutoka kambi ya upinzani katika Bunge la Uganda ,Winfred Kiiza amevuliwa ubunge na hivyo kupoteza sifa ya kuwa kiongozi wa upinzani katika hilo.Winfred ambaye alikuwa mbunge wa jimbo la Kasese kupitia chama cha FDC alivuliwa ubunge baada ya mahakama ya rufani kusema kuwa zaidi ya kura 6000 zilikuwa batili
SOURCE: GAZETI LA UHURU

This entry was posted in

Leave a Reply