MYIKA ALIPORTIMULIWA BUNGENI Posted on by Unknown Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akisindikizwa na askari kutoka nje ya Ofisi za Bunge, baada ya Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai, kwa Mnyika kutamka maneno ya hovyo wakati akichangia Hotuba ya Bajeti, jana