KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkabidhi trekta Diwani wa Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, Alhaj Omary Kariati, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Trekta hiyo ambayo imenunuliwa kwa bei nafuu kutoka Suma JKT, ni kwa ajili ya chama cha wakulima, wa Kata hiyo, kupitia Chama Cha Maendeleo ya Kata hiyo (KWDC).
Diwani huyo akilijaribu treka mbele ya Mukama (kushoto)
Katibu Mkuu wa CCM , Wilson Mukama akizungumza baada ya kukabidhi trekta hiyo. Picha: Bashir Nkoromo