Google PlusRSS FeedEmail

MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU AWAPA DARASA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher Ngubiagai akifafanua masuala ya msingi ya Mkoa huo.

 Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akimpa mkono wa pongezi Christopher Ngubiagai kwa kazi nzuri anayoifanya.
Mzee Kingunge akitoa ufafanuzi juu ya masuala muhimu kwa wanafunzi wa Mkoa wa Vyuo Vikuu
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo ametoa darasa muhimu kwa wasomi wa vyuo vikuu,na kuwasisitiza waitumie elimu yao vizuri.Amewaambia kwake yeye msomi ni mtu anayetumia elimu yake vizuri kwa manufaa ya wote. Mzee Kingunge pia alitoa darasa juu ya Katiba na suala zima la Muungano wa Tanzania na umuhimu wake. Akitumia uzoefu wake katika masuala mbali mbali ya siasa na kusisitiza wanafunzi wa chuo kikuu watumie elimu yao vizuri kwa manufaa ya Taifa letu.

This entry was posted in

Leave a Reply