![]() |
| Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki akila kiapo. |
![]() |
| Kamishna Mary Cresent Massay akila kiapo. |
![]() |
| Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo. |
![]() |
| Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo. |
![]() |
| Kamishna Sauli Herbert Kinemela akila Kiapo. |
![]() |
| Kamishna Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo. |
![]() |
| Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi baada ya kuwaapisha. |














