Google PlusRSS FeedEmail

WATUMISHI WA UMMA KUKOPESHWA NYUMBA

Rais Jakaya Kikwete,ameanzisha mchakato wa kuwakopesha nyumba za kuishi watumishi wa umma,kwa kuteua kamati ya maandalizi ya kujenga utaratibu wa kutoa mikopo na kuanzisha mfuko wa kutoa mikopo hiyo.

Ametaka mamlaka husika kuhakikisha zinapima viwanja kwa wingi na kwa haraka ili wananchi wapate mahali pa kujenga nyumba,sababu ukosefu wa viwanja unawalazimisha kujenga maeneo yasiopimwa.
TAARIFA ZAIDI PATA NAKALA YA GAZETI LA UHURU LA LEO

This entry was posted in

Leave a Reply