Google PlusRSS FeedEmail

ZIARA YA NAPE SONGEA, HAIJAPATA KUTOKEA...!

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisalimia na wazee baada ya kuwasili Kata ya Tanga, wilayani Songea,  ambako yalifanywa mapokezi yake.

Nape akizindua mradi wa mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano,Songea. Vibanda hivyo vya biashara vimejengwa na CCM kwa sh. milioni 206

Nape akimtuza kijana wa Madrasaatul  Nabai ya Masigira, baada ya kijana huyo kuomba dua alipowasili mjini Songea

Msafara wa pikipiki ukiongoza msafara wa  Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji.
Nape akishiriki kucheza ngoma baada ya kuwasili Uwanja wa MajiMaji.
Nape akisalimiana na wakazi wa mji wa songea waliojitokeza katika viwanja vya majimaji kuja kumsikiliza pindi alipokuwa akiiingia kiwanjani.

Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yake


Nape akiagana na wananchi wa Songea waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa majimaji kuja kumsikiliza.
Nape akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia mamia ya wakazi wa songea walipojitokeza kuja kumsikiliza katika uwanja wa majimaji.


This entry was posted in

2 Responses so far.

  1. epimark says:

    hongereni sana, milion mia mbili na sita si haba..kazi nzuri mmefanya.

  2. KIYUNGI says:

    Ni nzuri but we need to do as how people expect from ccm..VIVA CCM

Leave a Reply