Muhidin Issa Michuzi almaarufu Ankal ni miongoni mwa waandishi wakongwe waliohudhuria. |
Mwenyekiti wa kampuni za IPP Reginald Mengi akitoa rambi rambi zake. |
Mwekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba akitoa rambi rambi kwa niaba ya chama hicho. |
Nape akitoa pole kwa familia ya marehemu. |