Google PlusRSS FeedEmail

SHINA LA WAJASIRIAMALI WA CCM STENDI YA MABASI MJINI MAFINGA LAFUNGULIWA.

KATIBU wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifungua Shina la Wakereketwa wa CCM, ambao ni  wajasiariamali wanaofanya shughuli mbali mabali kwenye Stendi Kuu ya Mabasi mjini Mafinga , wilayani Mufindi mkoani Iringa, leo June 14, 2012, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama mkoani humo. Nape ameahidi kutoa sh. milioni moja kuchangia shughuli za maendeleo za shina hilo na kuwapa mipira mitano na jezi za timu nne kwa ajili ya timu za mpira za shina hilo. 


KATIBU wa NEC ya CCM, Nape Nnauye akimpatia kadi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Isaya Kaguo, baada ya kufungua shina hilo la wakereketwa wa CCM.

This entry was posted in

Leave a Reply